Mshambuliaji Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 87 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Arsenal ilitangulia kwa bao la Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 13, kabla ya Jorginho kuisawazishia Arsenal dakika ya 83 PICHA ZADI SOMA HAPA
CHELSEA YAITANDIKA 2-1 ARSENAL PALE PALE EMIRATES
By Alex Sonna
December 30, 2019 | 4:17 am

Related Stories
View all
Michezo
9 hours ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
Michezo
2 days ago
OLBALBAL MWAMBA WA LUSAKA RHINO CUP
Mashindano ya Rhino Cup yamefikia tamati leo tarehe 8 oktoba, 2026 kwa timu ya kata ya Olbalbal kuicharaza bila huruma jumla ya Goli 3-2…
