Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya tisa ikiwalaza wenyeji, Polisi Tanzania 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, Namungo FC wameshinda 1-0 ugenini dhidi ya JKT Tanzania bao pekee la Bgirimana Blaise dakika ya 90
AZAM FC,NAMUNGO ZANG’ARA UGENINI LIGI KUU VODACOM
By Alex Sonna
December 29, 2019 | 4:07 pm

Related Stories
View all
Michezo
22 hours ago
BENKI YA EXIM TANZANIA YASHIRIKI CEO GOLF DAY 2026
Benki ya Exim Tanzania imeungana na viongozi wa taasisi, wafanyabiashara, washirika na wadau mbalimbali katika CEO Golf Day 2026, hafla iliyofanyika Septemba 26, 2026…
Michezo
1 day ago
NJE SPORTS YASHIRIKI UZINDUZI RASMI WA SHIMIWI 2026
Timu ya Michezo ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (NJE Sports) imeshiriki uzinduzi rasmi wa Mashindano ya 40 ya…
