Home Michezo LIVERPOOL ‘MOTO FIRE’ YAITANDIKA 4-0  LEICESTER CITY PALE PALE KING POWER

LIVERPOOL ‘MOTO FIRE’ YAITANDIKA 4-0  LEICESTER CITY PALE PALE KING POWER

0

Beki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold akishangilia kibabe mbele ya mashabiki wao baada ya kufunga bao la nne dakika ya 78 akimalizia pasi ya Sadio Mane katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power, Leicester, Leicestershire. Mabao mengne ya Liverpool yalfungwa na Roberto Firmino dakika ya 31 na 74 mara zote akimalizia pasi Alexander-Arnold, wakati bao la pili lilifungwa na James Milner kwa penalti dakika ya 71 PICHA ZAIDI SOMA  HAPA