Home Michezo MAN UNITED YAIZAMISHA 4-1 NEWCASTLE,MARTIAL APIGA MBILI

MAN UNITED YAIZAMISHA 4-1 NEWCASTLE,MARTIAL APIGA MBILI

0

Anthony Martial akishangilia baada ya kuifunga mabao mawili Manchester United dakika za 24 na 51 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya Man United yamefungwa na Mason Greenwood dakika ya 36 na Marcus Rashford dakika ya 41, wakati bao pekee la Newcastle United limefungwa na Matty Longstaff dakika ya 17 PICHA ZAIDI SOMA  HAPA