Home Mchanganyiko SERIKALI IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA WATAALUMA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA...

SERIKALI IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA WATAALUMA WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA CHAKULA TANZANIA

0

Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka  Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST.leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwil. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. ambapo amesema Serikali ipo tayari kushirikiana na chama hicho pamoja na vyama vingie  ili mradi sheria za nchi zizingatiwe.Mwenyekiti wa chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST,Cosmas Jacob akisoma  hotuba yake katika ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST.leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwil. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Baadhi ya
washiriki wakimsikiliza 
Mkurugenzi
wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka  Wizara ya Viwanda na  Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi wakati wa
ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha wataaluma wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula Tanzania, TAFST.leo katika Ukumbi wa kwanza wa Mwil. Nyerere, Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
  Mgeni Rasmi  Mkurugenzi wa Viwanda Vidogo na Biashara Ndogo kutoka  Wizara ya Viwanda na Biashara,Dkt. Consolatha Ishebabi  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)