Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Manchester City, Mikel Arteta akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kuthibitishwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na nusu kuwa kocha mpya wa klabu hiyo aliyowahi kuichezea, akichukua mikoba ya Mspaniola mwenzake, Unai Emery aliyefukuzwa PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARTETA KOCHA MPYA ARSENAL, ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU NA NUSU
By Alex Sonna
December 20, 2019 | 4:52 pm

Related Stories
View all
Michezo
8 hours ago
15 DE AGOSTO KUICHEZEA SIMBA MECHI ZOTE MBILI UWANJA WA UHURU
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam unatarajiwa kuwa mwenyeji wa michezo yote miwili ya Simba SC na 15 de Agosto ya Equatorial Guinea…
Michezo
3 days ago
SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-1, YAONGOZA LIGI KUU
Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga SC, katika mchezo wa Ligi Kuu…
