Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Manchester City, Mikel Arteta akiwa ameshika jezi ya Arsenal baada ya kuthibitishwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na nusu kuwa kocha mpya wa klabu hiyo aliyowahi kuichezea, akichukua mikoba ya Mspaniola mwenzake, Unai Emery aliyefukuzwa PICHA ZAIDI SOMA HAPA