Bibi Folra Vicent, Mhifadhi Mila akitoa maelezo kuhusu mchango wa Tanzania katika ukombizi wa Afrika kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe.JI Bingxuan, akiwa na ujumbe wake walipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini, Dar es Salaam
Dkt. Amandus Kweka, Mhifadhi Mkuu (Akiolojia) akitoa maelezo kuhusu fuvu la mwanadamu wa kale (Zinjanthropus) kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, alipotembelea Makumbusho ya Taifa
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, akionesha picha ya miamba alipotembea ukumbi wa Sanaa za miamba Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam. Nyuma yake ni Balozi wa Tanzania nchini, Mhe. Wang Ke.
Antonia Mkama, Afisa Elimu akitoa maelezo kuhusu michoro ya miamba kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe.JI Bingxuan, na ujumbe wake walipotembelea ukumbi wa Miamba, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam
Bibi Rehema Mfinanga, Mhifadhi (Sanaa) akitoa maelezo kuhusu Sanaa ya uchoraji na uchongaji kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, akiwa na ujumbe walipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam
Bibi Rehema Mfinanga, Mhifadhi (Sanaa) akitoa maelezo kuhusu Sanaa ya uchoraji na uchongaji kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, akiwa na ujumbe walipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam
BIbi Anamary Bagenyi, Afisa Elimu Mwandamizi akitoa maelezo kuhusu uhuru wa Tanganyika kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan, alipotembelea Ukumbi wa Historia, Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam
Dkt. Agness Gidna, Mhifadhi Mwandamizi kutoka Idara ya Paranthorojia akitoa maelezo kuhusu nyayo za mwanadamu wa kwanza zilizogundulika huko Laitoli katika Bonde la Olduvai Gorge kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe.JI Bingxuan alipotembelea Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa, Bibi Adellaide Sallemu akimkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, Mhe. JI Bingxuan (katikati), kushoto kwake ni mfasili wa Lugha, Bibi Mme Shi Dongmei alipotembelea Makumbusho ya Taifa.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomonisti cha China (CPC) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya watu wa China, JI Bingxuan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam