Mchezaji wa Tanzania, Esther Mabanza akimtoka mchezaj wa Eritrea katika mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Wasichana chini ya umri wa miaka 17, CECAFA U17 Womens Challenge leo mjini Kampala, Uganda. Tanzania Bara imeshinda 5-0 mabao ya Aisha Masaka mawili dakika ya 21 na 41 na Joyce Meshack matatu dakika za 29, 54 na 62