Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapt Mstaafu Mhe.George Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma Disemba 6,2019 wakati kuhusu maandhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu yatakayofanyika Disemba 11,2019 Jijini hapa
Mwenyekiti wa tume ya utumishi na utawala bora Jaji Harold Nsekela,akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma Disemba 6,2019 wakati kuhusu maandhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu yatakayofanyika Disemba 11,2019 Jijini hapa
Sehemu ya viongozi wakifatilia hotuba ya Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapt. Mstaafu George Mkuchika ,alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma Disemba 6,2019 kuhusu maandhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu yatakayofanyika Disemba 11,2019 Jijini hapa
Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw.Mathew Mwaimu, akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma Disemba 6,2019 kuhusu maandhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu yatakayofanyika Disemba 11,2019 Jijini hapa (kulia) ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora kapt.Mstaafu George Mkuchika
Naibu katibu mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Amon Mpanju, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari Jijini Dodoma kuhusu maandhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu yatakayofanyika Disemba 11,2019 Jijini hapa (kulia) ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapt.Mstaafu George Mkuchika
Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji maadili katika Utumishi wa Umma Ofisi ya Rais -Utumishi Fabian Pokela,akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma kuhusu maandhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamu yatakayofanyika Disemba 11,2019 Jijini hapa
Sehemu ya watumishi wakifatilia Hotuba ya Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapt.(MST) Mhe. George Mkuchika,wakati akitoa taarifa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu.
Mwaandishi wa habari wa Gazeti la Mwananchi Habel Chidawali,akiuliza swali kwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapt.(MST) Mhe. George Mkuchika,wakati alipokuwa anatoa taarifa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu.
Sehemu ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifatilia hotuba ya Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapt.(MST) Mhe. George Mkuchika, alipokuwa akitoa taarifa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu.
Mwaandishi wa habari wa Gazeti la Tanzania Daima Danson Kaijage ,akiuliza swali kwa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti, Utumishi wa Umma na Utawala bora Kapt.(MST) Mhe. George Mkuchika,wakati alipokuwa anatoa taarifa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu.
Picha na Alex Sonna-Fullshangweblog
…………….
Na.Alex Sonna,Dodoma
Awali Mwenyekiti wa tume ya utumishi na utawala bora Jaji Harold Nsekela, amesema kuwa hapa nchini haki za binadamu zinafuatwa ipasavyo, kutokana na kwamba masuala ya uchumi yanaongezeka, elimu inatolewa bure na vingine vingi ambavyo vipo ndani ya maadili na hakiza binadamu.
Jaji Nsekela amesema kuwa matarajio ya serikali ni kuhakikisha maadili yanaongezeka, kwa kusimamia sera na taraibu mbalimbali ambazo zinatakiwa kufanywa.
Maadhimisho hayo Kitaifa yatafanyika Desemba 11 katika ukumbi wa Pius Msekwa jijini Dodoma na yameratibiwa na na Taasisi zinazoshughulika na masuala ya haki za binadamu na utawala bora, kupambana na rushwa, uwajibikaji, usimamizi wa sheria ba maadili.