Home Mchanganyiko TBL Yashiriki kutoa Elimu ya kupinga Vitendo Vya Ukatili wa kijinsia...

TBL Yashiriki kutoa Elimu ya kupinga Vitendo Vya Ukatili wa kijinsia Manerumango, Mkoa wa Pwani

0

Meneja Mawasiliano  wa TBL, Abigail  Mutaboyerwa,  akiongea juu ya ukatili wa Kijinisia kwa  wakazi wa kijiji cha Maneromango  tarafara ya Maneromango Wilaya ya Kisarawe   mkoa wa Pwani wakati wa semina iliyoandaliwa na TBL kwa kushirikiana na jeshi la Polisi Dawati la jinisia Wilaya ya Kisarawe  na waadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa  Kijinsia Duniani.

Wakazi wa Kijiji cha Maneromango Wilaya ya Kisarawe, wakimsikiliza kwa makini  Mkuu wa jeshi la Polisi Wilaya ya Kisarawe (OCD)  Eva Stesheni  wakati alipokuwa akitoa  mada ya Ukatili wa Kijinisia  kwa  wanakijiji hao   wakati wa  maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia Duniani.

Wanafunzi wa  Sekondari ya  Maneronango High School , iliyopo Maneronago Kisarawe wakimsikilza kwa makini Mkuu wa jeshi la Polisi Kisarawe  OCD, Eva Stesheni wakati akiwaelimisha njisi ya kujikinga na mimba za utotoni wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

Wadau mbalimbali wa masuala ya kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia   wakiwa katika picha ya pamoja na wazee mashuhuri wa kijiji cha  Meneromango  kilichopo Wilaya ya Kisarawe  wakati wa maadhimisho ya siku 16 y ak kupinga ukatili wa kijinsia Duniani.