Katibu Mkuu mstaafu na mwenyekiti wa kikao Mhandisi Mbogo Futakamba, kushoto akifuatiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali za Maji, Wizara ya Maji Dkt. George Lugomela wakifuatilia uwasilishaji wa Mkakati wa Kituo Mahiri cha Rasilimali za Maji (Water Resources Centre of Excellence-WRCE).
Mtaalam Bw. Vincent Ssebuggwano akiwasilisha Mpango Mkakati wa Kituo Mahiri cha Rasilimali za Maji kwa wadau wa rasilimali za maji nchini
Wataalam na wadau wa Rasilimali za Maji wakifanya mapitio ya Mpango Mkakati wa Kituo Mahiri cha Rasilimali za Maji (Water Resources Centre of Excellence-WRCE), kilichoanzishwa na Wizara ya Maji. WRCE itahusika, pamoja na mengine, masuala ya kitaalam na utafiti wa kina katika sekta ya maji nchini.