Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam, tarehe 3 Disemba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam, tarehe 3 Disemba 2019.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Jijini Dar es salaam, tarehe 3 Disemba 2019.
Na Mathias Canal, Wizara ya
Kilimo-Morogoro
Kilimo-Morogoro
Serikali imesema
kuwa inathamini sana mchango wa Sekta binafsi katika kukuza uchumi kwani ndio chanzo
kikubwa cha Pato la Taifa kutokana na mchango wake kupitia kodi, ushuru na tozo
mbalimbali.

Kilimo ni moja
ya Sekta zinazoongoza kwa ushiriki wa sekta binafsi. Wakulima wote ni sekta
binafsi. Ukiondoa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Bodi ya
Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), wafanyabiashara wote wa mazao ya Kilimo ni
sekta binafsi.

Aidha, wauzaji
wote wa mbolea isipokuwa kampuni ya mbolea Tanzania (TFC) ni sekta binafsi.
Vile vile, viwanda vyote 13 vinavyotengeneza mbolea (Fertilizer) na visaidizi
vya mbolea (Fertilizer supplements) vinamilikiwa na sekta binafsi.

Waziri wa Kilimo
Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo tarehe 3 Disemba 2019 wakati akifungua kikao
kazi cha wadau wa mbolea chenye lengo la Kuweka Mikakati ya Kutumia Fursa za Uwekezaji katika
Viwanda vya Mbolea Nchini kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Taifa cha
Utalii Jijini Dar es salaam.

Mhe Hasunga
amesema kuwa ili kuongeza tija katika sekta ya kilimo ni dhamira ya serikali
kuhakikisha kuwa inaanzisha viwanda mbalimbali nchini huku akisema kuwa kwa
Wizara ya Kilimo msukumo maalumu ni kuhakikisha kuwa viwanda vya kuzalisha
mbolea vinaanzishwa hapa nchini.

Amesema kuwa Tanzania
ina viwanda 10 vya mbolea ambavyo hutengeneza virutubisho vya aina mbalimbali
kwa ajili ya mimea kama vile (Nitrogen – N, Phosphorus – P, Potassium – K, NP,
NK, PK, NPK n.k.)

Amesema baadhi
ya wafanyabashiara walioko nchini wana mitambo ya kuchanganyia mbolea (Fertilizer
Blending) ili kupata aina za virutubisho mahsusi kwa ajili ya mazao (Crop
Specific Fertilizer Catalogues) na pia kuwekewa visaidizi vya mbolea kwa ajili
ya kurekebisha afya ya udongo (Soil Specific Fertilizer Catalogues).

Amesema kuwa
pamoja na kuwepo kwa viwanda vitatu vya visaidizi vya mbolea (Calcium/gypsum
n.k.) ambavyo hutumika kurekebisha hali ya
udongo ili mbolea ichukuliwe vizuri na mmea (optimal fertilizer uptake).
Hata hivyo, uzalishaji wa viwanda hivi bado ni mdogo na hivyo kutokidhi
mahitaji makubwa ya mbolea Nchini kwetu.

Ili kuimarisha
upatikanaji wa mbolea kwa wakati na kuwa na bei rafiki kwa wakulima ni lazima kuongeza
uwezo wa viwanda vya mbolea, viwanda vya visaidizi vya mbolea na mitambo ya
kuchanganyia mbolea ili viwe na uwezo wa kutosheleza mahitaji ya wakulima nchini.

Pia amesema
inatakiwa kujenga viwanda vipya vya mbolea, viwanda vya visaidizi vya mbolea na
mitambo ya kuchanganyia mbolea ili viwe na uwezo wa kutosheleza mahitaji ya
wakulima.

Zingine ni kuweka
mkakati wa miaka mitano wa kupunguza au kuondoa kabisa uagizaji wa mbolea
kutoka nje ya nchi; kuweka mkakati wa miaka miaka mitano wa kupunguza bei ya
mbolea kwa mkulima kutokana na utengenezaji wa mbolea ndani ya nchi; na Kuweka
mkakati wa kuongeza uuzaji wa mbolea nje ya nchi ili kutosheleza mahitaji ya
Nchi hizo na kuiongezea Serikali pato la fedha za kigeni.

Pia, Taasisi
zinazotoa huduma kwenye tasnia ya mbolea (fedha, utafiti, elimu, usafirishaji,
nishati, vyama vya ushirika) kuweka mkakati wa kuhakikisha kwamba zinaweka
mazingira wezeshi ya uwekezaji katika viwanda vya mbolea.

amesema kuwa pamoja na hayo lakini pia Asasi za kiraia (AZAKI) zinatakiwa kuwa
mstari wa mbele kufuatilia na kuona kwamba wadau wote wanashiriki katika
mchakato wa kuhakikisha viwanda vya mbolea vinakuwepo nchini.

Kadhalika
amesema kuwa hizi sio zama za kusubiri matamko ya Serikali na kuanza kuyakosoa
bila kupendekeza majawabu. AZAKI zinatakiwa kuwa sehemu ya kutafuta majawabu
badala ya kutafuta changamoto bila kutafuta au kupendekeza majawabu.