Home Michezo MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 3-1 OLD TRAFFORD

MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 3-1 OLD TRAFFORD

0

Mshambuliaji Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 66 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Brighton & Hove Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Mabao mengine ya United yamefungwa na Andreas Pereira dakika ya 17 na Davy Propper aliyejifunga dakika ya 19, wakati la Brighton limefungwa na Lewis Dunk PICHA ZAIDI SOMA  HAPA