Home Mchanganyiko DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA ZBC REDIO

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA ZBC REDIO

0

 Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee alipokuwa akitoa ufafanuzi  na majibu ya masuala mbali mbali yaliyoulizwa katika  mkutano wa Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Redio na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katila     ukumbi wa  jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu] 06/11/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio  katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo  mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud Thabit Kombo na (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar ,[Picha na Ikulu] 06/11/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar alipowasili katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar katika mkutano na Wafanyakazi wa ZBC Redio uliofanyika leo,[Picha na Ikulu] 06/11/2019.

Mtangazji wa Habari wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio Khadija Ali Hassan alipokuwa akiuliza suala wakati wa Wafanyakazi wa Shirika hilo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa  jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu] 06/11/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio  katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo  mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud Thabit Kombo,[Picha na Ikulu] 06/11/2019.