Naibu Waziri wa Kilimo Mhe
Omary Mgumba (Mb) akijibu swali bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 5 Novemba 2019 wakati
wa mkutano wa kumi na saba.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba (Mb) akijibu swali bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 5 Novemba 2019 wakati wa mkutano wa kumi na saba.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imefanya
utafiti na kugundua kuwa ugonjwa wa Ubwili unga ndio unaoathiri mipapai kwa
kiwango kikubwa.

Baada ya kugundulika ugonjwa huo, Wizara ya kilimo
imechukua hatua za kuudhibiti kwa kutumia viuatilifu vyenye viambata vya
croripynfos (udhibiti wa kwenye udongo), Profenophos na Dichlorovosch (udhibiti
kwenye majani).

Aidha, njia nyingine ya uthibiti ni kwa kutumia
mbinu bora za kilimo (Cultural Control) kwa kupanda miche wakati wa
kiangazi ili mimea isishambuliwe ikiwa michanga, kupalilia shamba kwa wakati na
kug’olea miche iliyoathirika na utumiaji wa wadudu marafiki (Biological
Control).

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba ameyasema
hay oleo tarehe 5 Novemba 2019 bungeni Jijini Dodoma Wakati akijibu
swali la Mheshimiwa Mbunge wa Viti Maalum Zainabu Mussa Bakari aliyetaka
kufahamu serikali imechukua hatua gani kudhibiti maradhi katika mimea
ya mipapai nchini ambayo yanahatarisha kupotea kwa mimea hiyo.

Amesema kuwa Serikali inaendelea kutoa elimu kwa
wakulima kuhusu kufuata kanuni bora za kilimo ili kuepuka magonjwa mbalimbali
yanayoweza kuathiri mimea ukiwemo mpapai.

Serikali kupitia Kituo cha Utafiti cha
TARI-Horti TENGERU imeendelea kufanya utafiti magonjwa na wadudu
wanaoathiri mazao ya bustani ikiwemo mipapai. Utafiti huo umegundua kuwa
ugonjwa wa Ubwili unga unaoathiri mipapai unaosababishwa na vimelea vya kuvu (fungus)
vijulikanavyo kitaalam kama Oidium caricae papaya.

Ameongeza kuwa Mipapai haiwezi kupotea nchini
kwa kuwa tayari njia za kudhibiti magonjwa
na wadudu wanaoshambulia mimea hiyo zipo.

kadhalika, Wizara itaendelea kuwaelimisha wakulima
na wadau mbalimbali juu ya udhibiti wa ugonjwa na wadudu wanashambulia mimea na
mazao ikiwemo mipapai ili kuongeza uzaliahaji na tija.