Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua kitabu cha muongozo wa kilimo kinachohimili mabadiliko ya tabianchi alipotembelea kitengo cha mazingira wakati akizungumza na watumishi Jijini Dodoma alipotembelea ofisi za wizara hiyo eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 30 Octoba 2019. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa kitengo cha Uhasibu alipotembelea kitengo hicho kwenye ofisi za wizara hiyo eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Jijini Dodoma leo tarehe 30 Octoba 2019.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza na watumishi wa kitengo cha Masijala ya siri wa wizara ya Kilimo alipotembelea ofisi za wizara hiyo eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) lijini Dodoma Leo tarehe 30 Octoba 2019.
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Watumishi wa Wizara ya Kilimo wameaswa kuwa
waadilifu na kuzingatia ubora wa kazi wakati wanatoa huduma kwa wananchi.

Mwito huo
umetolewa na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 30 Octoba 2019
wakati akizungumza na watumishi Jijini Dodoma alipotembelea ofisi za wizara
hiyo eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Mhe Hasunga
amesema kuwa udilifu, nidhamu na weledi kwa watumishi wa umma ni kinga dhidi ya
matumizi mabaya ya ofisi za umma na ni moja kati ya njia zinazowawezesha
watumishi wa umma kuwa wachapakazi hodari.

“Kiwango cha
juu cha Ubora wa kazi zetu na utendaji wa kazi unaozingatia weledi vitaweza tu
kufikiwa kwa kuajiri watumishi wenye sifa stahiki, maadili, na bidii ya kuchapa
kazi na wanaoweza kwenda sambamba na kasi kubwa ya mageuzi katika wizara ya
kilimo,” Alisisitiza Mhe Hasunga

Alisema kuwa
utekelezaji mzuri wa majukumu yao ni sehemu ya utekelezaji wa maelekezo ya ilani
ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi yam mwaka 2015-2020.

Amewataka
watumishi hao kusimama imara katika kufanya kazi na kutumia weledi wao kwa
ajili ya kuwatumikia wananchi na kwamba uadilifu ndiyo silaha muhimu katika
kufanya kazi ya Umma.

Amesema mtumishi atakayetumia vibaya rasilimali za serikali
atahesabika adui namba moja wa Serikali na eneo analofanyia kazi huku
akibainisha kuwa mtumishi wa aina hiyo kamwe hatohamishwa badala yake
ataachishwa kazi.
Ziara ya
waziri wa Kilimo kukutana na watumishi hao ilikuwa na lengo la kusalimiana na
kusikiliza changamoto zinazowakabili katika utendaji kazi.