Kiungo Mmarekani, Christian Pulisic akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za 21, 45 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Burnley leo Uwanja wa Turf Moor. Bao lingine la The Blues limefungwa na Willian 58, wakati ya Burnley yamefungwa na Jay Rodriguez dakika ya 86 na Dwight McNeil dakika ya 89 PICHA ZAIDI SOMA HAPA