Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (katikati) akizungumza na Mameneja wa RUWASA wa Wilaya, Waganga Wakuu wa Wilaya, Maofisa Afya, Maofisa Elimu (SWASH), Maofisa Ustawi wa Jamii, TAMISEMI na Maofisa Wakaguzi wa Ndani wakati akifunga warsha ya mafunzo ya uelewa wa pamoja katika utekelezaji wa .mradi wa maji utakaokwenda sambamba na malipo kulingana na matokeo ya kazi (PforR) mjini Singida leo. Kulia ni Kiongozi wa Timu ya mradi huo kutoka Benki ya Dunia (Task Team Leader), Iain Menzies na kushoto ni Mratibu wa mradi huo, Mhandisi Mashaka Sitta.
Mratibu wa mradi huo, Mhandisi Mashaka Sitta, akizungumza katika ufungaji wa warsha hiyo.
Kiongozi wa Timu ya mradi huo kutoka Benki ya Dunia ( Task Team Leader), Iain Menzies akizungumza mbele ya washiriki wa warsha hiyo.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango, Agnela Nyoni akizungumza kwenye ufungaji wa warsha hiyo.
Washiriki wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Prof. Kitila Mkumbo (hayupo pichani) wakati akifunga warsha hiyo.
Washiriki wakiwa kwenye warsha hiyo.