Eneo la magesho ya maroli nanenane lililopo Manispaa ya Morogoro ambalo linalalmikiwa na madeleva wa maroli yaendayo mikoani na nchi jirani.
…………………………..
Story na Faida Saidy,Morogoro
Madereva wamalori yaendayo mikoani na nje ya nchi wamelalamikia kuhusuubovu wa maegesho ya magari yaoiliyopo Nanenane Manispaa ya Morogoro na ubovu haliinayosababisha uharibifu wa vipuli pamoja na kukwama ndani ya eneo hilo jambo linalowachelewesha katika safari zao lichay akulipa ushuru wakatiwote…
wakizungumza katika eneo la tukio madereva hao wamedai kusikitishwa na huduma mbovu zilizopokatika ktika eneo hilo licha ya malipo ya ushuru wanayoyatoa kwa kila lorimoja lipitapo huku wakidai kukosa huduma nzuri licha yamalipo watoayo kama wanavyoeleza Baadhi ya madereva akiwemo Saidi Khamis na IssaGwitu
Mara baadaya kusikia malalamiko hayo mkuu wa mkoa wa morogoro lowata Ole Sanare amefika katika eneo hilo ambapo alitaka kujua uhalari wa eneo hilo, mkataba na makubaliano ya liyopo baina ya serikali na mliki wa eneo hilo.
Ndipo akabaini kuwa mpangaji BR CONSTRUCTION ambaye anamiliki eneo hilo amengia mkataba wa miaka 5 tangu 2015 na kwa mwezi anakusanya milioni 6 huku serikali ikipatiwa milioni 2 pekee jamboa mbalo mkuu wa mkoa amelikemea na kutaka mkataba huo urudiwe kutazamwa kwa usahihihi huku mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Sheilla Lukuba akifafanua kuhusu malipo na mgawanyiko wake.