Home Mchanganyiko UTIAJI SAINI UJENZI WA MAHAKAMA KUU TUNGUU WAFANYIKA ZANZIBAR

UTIAJI SAINI UJENZI WA MAHAKAMA KUU TUNGUU WAFANYIKA ZANZIBAR

0
Mtendaji Mkuu wa Mahkama Zanzibar Kai Bashir Mbaruk kulia akitiliana saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Advent Construction ltd Mkataba wa Ujenzi wa Mahkama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Ungja. .hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahkama Kuu Vuga Zanzibar
Mtendaji Mkuu wa Mahkama Zanzibar Kai Bashir Mbaruk kulia wakibadilishana hati ya saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Advent Construction ltd Mkataba wa Ujenzi wa Mahkama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Ungja.hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahkama Kuu Vuga Zanzibar.
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim akitoa hotuba katika hafla ya utiliaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mahkama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Unguja.ambayo itakayojengwa na Kampuni ya Advent Construction ltd hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahkama Kuu Vuga Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa hotuba katika hafla ya utiliaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Mahkama Kuu Tunguu Mkoa Kusini Unguja.ambayo itakayojengwa na Kampuni ya Advent Construction ltd hafla iliofanyika katika ukumbi wa Mahkama Kuu Vuga Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.