Katibu Mkuu wa Wizara ya Malisili na Utalii ,Prof ,Adolf Mkenda akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Makatibu wakuu na Maafisa Waandamizi wa Sekta za Mazingira ,Malisili na Utalii kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo , kusini mwa Afrika (SADC) .
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo wakifutilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii ,Prof Adolf Mkenda (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao hicho .
Mkurugenzi wa Idara ya Chakula ,Kilimo na Maliasili wa Sekretarieti ya SADC ,Domingos Gove akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo unaoshirikisha Makatibu Wakuu kutoka nchi 16 za SADC.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo wakifutilia hotuba iliyokuwaikitolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii ,Prof Adolf
Mkenda (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao hicho .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,prof ,Adolf Mkenda akizungumza na Wanahabari mara baada ya kufunguliwa rasmi kwa mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara za Mazingira,Maliasili na Utalii wa nchi za SADC.
Mkurugenzi wa Idara ya Chakula ,Kilimo na Maliasili wa Sekretarieti ya SADC,Domingos Gove akizungumza na Wanahabari mara baada ya kufunguliwa rasmi kwa mkutano waMakatibu Wakuu wa Wizara za Mazingira,Maliasili na Utalii wa nchi za
SADC.
Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira ,Joseph Malongo akizungumza na Wanahabari mara baada ya kufunguliwa rasmi kwa mkutano waMakatibu Wakuu wa Wizara za Mazingira,Maliasili na Utalii wa nchi za
SADC.
Makatibu Wakuu na Maafisa Waandamizi wa Sekta ya Mazingira,Maliasili na Utalii wa nchi za SADC ,wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika kituo cha kimataifa cha Mikutano cha AICC jijini Arusha.Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;}
waandamizi wa Wizara zinazo shughulika na Mazingira ,Maliasili na Utalii
wamekutana jijini Arusha kwa ajili ya kuweka agenda za Mkutano wa Mawaziri wa
sekta husika kwa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) .
katika kikao hicho cha awali ni pamoja na mpango mkakati wa pamoja wa
kukabiliana na ujangili kwa nchi za SADC ,hoja inayo paswa kuungwa mkono nan
chi wanachama.
Utalii ,Prof,Adolf Mkenda amesema nchi
moja ni vigumu kupambana na ujangili hivyo tunahitaji kuunganisha nguvu kwa
nchi zote ili ziweze kufanikisha juhudi za kupambana na ujangili.
kukuza utalii katika nchi za SADC, hii ni moja kati ya agenda muhimu
zitakazojadiliwa” alisema Profesa Mkenda.
na Maliasili kutoka Sekretarieti ya SADC, Domingos Zephania Gove amesema kuwa
wanahitaji kutembea pamoja kama nchi za SADC katika kuweka mikakati katika
masuala ya Mazingira,Utalii na Wanyamapori .
kuthibitisha program za pamoja za kukuza utalii na kusimamia maliasili katika
ukanda husika.
,Muungano na Mazingira,Mhandisi Joseph Malongo amesema kuwa watajadili mkakati
wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwa pamoja na jinsi ambavyo
wananchi wanaweza kutumia uchumi wa bluu kwa maana ya bahari katika kuchangia
maendeleo .






