Home Mchanganyiko Prof. Kabudi akutana, kufanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya

Prof. Kabudi akutana, kufanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya

0

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Rwanda nchini, Meja Jenerali Karamba Charles.

Mkuu wa Itifiki wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Wilbert Ibuge akimkaribisha Balozi Mteule wa Rwanda nchini, Meja Jenerali Karamba Charles katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Balozi Manfredo Fanti akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akiwa katika mazugumzo na Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya
nchini Tanzania, Balozi Manfredo Fanti katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es
Salaam.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi (Mb) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Balozi Manfredo Fanti.