Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia na wananchi wa Lukuledi wilayani Masasi Mkoani
Mtwara wakati akiendelea na ziara yake mikoa ya kusini Leo Oktoba 16,
2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia jambo na wanafunzi wa Shule ya Lukuledi Maalumu wenye ulemavu wa kusikia wakati aliposimama kusalimia wananchi wa Lukuledi wilayani Masasi Mkoani Mtwara wakati akiendelea na ziara yake mikoa ya kusini Leo Oktoba 16, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiserbuka na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Rw3angwa mkoa wa Lindi wakati akiendelea na ziara yake mikoa ya kusini Oktoba 18, 2019
Picha na IKULU