Wananchi wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi
wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika
Jimbo la Mtama mkoani Lindi. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wananchi wa Lindi vijijini katika jimbo la Mtama (hawaonekani pichani)
mkoani Lindi wakati akielekea katika Jimbo la Ruangwa.