Home Mchanganyiko NMB KANDA YA MASHARIKI YAMUENZI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE KWA KUFANYA...

NMB KANDA YA MASHARIKI YAMUENZI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE KWA KUFANYA MAZOEZI NA VIKUNDI VYA JOGGING

0

Askari wa vikosi vya ulinzi na usalama wakifanya Jogging
katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika kuadhimisha Kumbukizi
ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wafanyakazi wa Bank ya NMB kanda ya Mashariki pamoja na
Askari wa Ulinzi na Usalama wakifanya mazoezi kujiweka sawa kiafya
katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika kuadhimisha Kumbukizi
ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Wafanyakazi wa Bank ya NMB kanda ya Mashariki wakifanya
Jogging katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika kuadhimisha
Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage NyerereWafanyakazi wa Bank ya NMB kanda ya Mashariki wakipata
picha ya pamoja katika mji wa Morogoro jana Oktoba 14 katika
kuadhimisha Kumbukizi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.