Vijana wa Halaiki wakijenga maumbo mbalimbali
wakati wa sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na
Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo
Jumatatu Oktoba 14, 2019
Wanenguaji wa Kundi la Tanzania One Theatre (TOT) wakitumbuiza
kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na
Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
zilizoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo
Jumatatu Oktoba 14, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa Jukwaa kuu na viongozi wengine wa kitaifa sherehe za Kilele za
Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizoongoza katika Uwanja wa Michezo wa
Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge mwaka
huu Ndugu Mzee Mkongea Ally kwenye sherehe za Kilele za Mbio za
Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa
Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi
leo Jumatatu Oktoba 14, 2019.
Wabunge wa Lindi na Viongozi wengine wakiserebuka na Msanii
Rajabu Abdul Kahali maarufu kama “Harmonize” ama “Konde Boy” kwenye
sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya
Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizoongozwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi leo Jumatatu Oktoba 14,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Naibu Kamishna wa TAKUKURU Brigedia Jenerali john Mbungo ripoti aliyokabidhiwa na kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa wakati wa hotubia yake kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia kwenye sherehe za Kilele za Mbio za Mwenge, Wiki ya Vijana na Kumbukizi ya Miaka 20 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Uwanja wa Michezo wa Ilulu Mjini Lindi. Oktoba 14, 2019.