Home Mchanganyiko Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Awazawadia Watoa Huduma wa Kituo cha...

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Awazawadia Watoa Huduma wa Kituo cha Huduma kwa Wateja

0

Mkurugenzi Mtendaji  wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi (kushoto) akiwapongeza  wafanyakazi wa kituo cha huduma kwa Wateja (Call Centre) kwa namna wanavyotoa  huduma bora kwa wateja wao, wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa Wateja . Kushoto kwake ni  Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania Plc, Harriet Lwakatare.

Mkurugenzi Mtendaji  wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake kwa  kutoa huduma bora kwa wateja, Stella Mboyelwa kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wengine mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania Plc, Harriet Lwakatare na Wendyline Malawa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake kwa  kutoa huduma bora kwa wateja, Restituta Masondore kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wengine mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Harriet Lwakatare na Wendyline Malawa.

Mkurugenzi Mtendaji  wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake kwa  kutoa huduma bora kwa wateja, Kelvin Mrema kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wengine mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Harriet Lwakatare na Wendyline Malawa.

Mkurugenzi Mtendaji  Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Hisham Hendi akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wake kwa  kutoa huduma bora kwa wateja, Godfrey Shayo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Wengine mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo, Harriet Lwakatare na Wendyline Malawa.

Wafanyakazi wa Kituo cha Huduma kwa wateja Vodacom (call centre) wakimsikiliza mkurugenzi wao , Hisham Hendi.