Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi , Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi na Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke wakikata utepe wakati Kampuni ya Ujenzi ya China Anhui Foreign Economic Consturuction Group Co. Limited ya China ilipokabidhi jengo jipya la Wizara ya Mambo ya Nje lililopo kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam jana.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akishuhudia wakati Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakitoa saini mkataba wa makabidhiano ya jengo la wizara ya mambo ya nje jana jijini Dar es salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akishuhudia wakati Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharikiwakibadilishana hati za mikataba hiyo mara baada ya kuisaini.
Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya jengo hilo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi na Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke wakiingia kwenye jengo hilo mara baada ya kukata utepe.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi akiakizungumza katika hafla hiyo mara baada ya makabidhiano ya jengo hilo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi , Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharikiwakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa wizara ya mambo ya nje na ubalozi wa China.
Baadhi ya wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya makabidhiano hayo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi na Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke , Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi , Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi , Balozi wa China nchini nchini Tanzania Wang Ke na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki