Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa Waziri Mkuu wa Tanzania akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bw Edwin Rutageruka alipotembelea Kliniki ya Biashara inayoratibiwa na TanTrade wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Pili ya SIDO kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Bombadia Mjini Singida.
Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa Waziri Mkuu wa Tanzania akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bw Edwin Rutageruka alipotembelea Kliniki ya Biashara inayoratibiwa na TanTrade wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya Pili ya SIDO kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Bombadia Mjini Singida. Kliniki hii inashirikisha Taasisi za Serikali ikiwemo TRA, BRELA, TBS, FCC, MKEMIA MKUU, TFS, WMA, SIDO na imedhaminiwa na NBC.Mkurugenzi Mkuu amemweleza Mhe.Waziri Mkuu kuwa TanTrade kwa kushirikiana na Taasisi nyingine wanajipanga kupata ofisi ya kudumu kwa ajili ya kutoa huduma ya Kliniki ya Biashara