RAIS Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akitembelea mabanda ya maonesho ya Tamasha la Pili la Utalii Zanzibar, linalofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, akimsikiliza mwakilishi wa Kampuni ya MCL.(Picha na Othman Maulid).
Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ya GS,wakati akitembelea mabanda ya maonesho ya Tamasha la Pili la Utalii Zanzibar katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo.28-9-2019.(Picha na Othman Maulid).