Mshambuliaji Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 84 ikiilaza 3-2 Aston Villa Uwanja wa Emirates leo. Mabao mengine ya Arsenal iliyomaliza pungufu baada kinda wake Ainsley Maitland-Niles kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 41 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kucheza rafu, yalifungwa na Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 59 na Callum Chambers dakika ya 81, wakati ya Villa yalifungwa na John McGinn dakika ya 20 na Wesley dakika ya 60 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAPINDUA MEZA KIBABE,YAICHAPA 3-2 ASTON VILLA
By Alex Sonna
September 22, 2019 | 7:52 pm

Related Stories
View all
Michezo
8 hours ago
JKT YAFUNGA MASHINDANO YA CNS CUP 2026, YASISITIZA NIDHAMU KUKUZA VIPAJI
Na.Sophia Kingimali. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limefunga rasmi Mashindano ya Kombe la CNS Cup 2026 katika Kambi ya JKT Mgulani jijini Dar es…
Michezo
2 days ago
LIONEL MESSI AANDIKA HISTORIA MPYA YA KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Austria katika mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi…
