KINDA wa miaka 17, Mason Greenwood akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya 73 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Astana kwenye mchezo wa Kundi L UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford hilo likiwa bao lake la kwanza kabisa timu ya wakubwa kufuatia kupandishwa kutoka akasemi ya klabu PICHA ZAIDI SOMA HAPA
KINDA WA MIAKA 17 AIPA USHINDI MAN UNITED EUROPA LEAGUE
By Alex Sonna
September 20, 2019 | 9:55 am

Related Stories
View all
Michezo
8 hours ago
KITONGA MARATHON KUTANGAZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA UTALII KILOLO
NA DENIS MLOWE, KILOLO WILAYA ya Kilolo mkoani Iringa imeeleza kuwa Kitonga Marathon inayotarajiwa kufanyika Oktoba 31, 2026, itatumika kama jukwaa la kutangaza fursa…
Michezo
8 hours ago
WAANDISHI WA KIMATAIFA WAKOSHWA NA UZURI WA NGORONGORO
Waandishi nguli wa habari za michezo na burudani kutoka sehemu mbalimbali duniani, walioko nchini Tanzania kwa ziara ya kiutalii na kufuatilia maandalizi ya AFCON…
