Muargentina Angel Di Maria (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Paris Saint-Germain mabao mawili dakika za 14 na 33 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Madrid jana kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Bao lingine la PSG lilifungwa na Thomas Meunier dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI SOMA HAPA
PSG YAICHAPA 3-0 REAL MADRID ‘DI MARIA APIGA BAO MBILI’
By Alex Sonna
September 19, 2019 | 6:52 am

Related Stories
View all
Michezo
2 hours ago
NJE SPORTS YASHIRIKI UZINDUZI RASMI WA SHIMIWI 2026
Timu ya Michezo ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (NJE Sports) imeshiriki uzinduzi rasmi wa Mashindano ya 40 ya…
Michezo
1 day ago
NISHATI YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA TIMU YA BUNGE KATIKA MICHUANO YA SHIMIWI
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Nishati leo leo tarehe 24 Septemba imeibuka na ushindi wa mabao 2–0 dhidi ya timu ya…
