Home Mchanganyiko BUGANDO YAOKOA BILIONI 2 KWA MATIBABU YA SARATANI

BUGANDO YAOKOA BILIONI 2 KWA MATIBABU YA SARATANI

0

Picha ya pamoja ya maofisa habari kutoka wizara ya afya na taasisi zake mara baada ya kutembelea idara ya upasuaji na kujionea maboresho makubwa ikiwemo upanuzi wa vyumba vya upasuaji kutoka sita hadi kumi na tatu pamoja na vifaa na vifaa tiba vya kisasa

Mkurugenzi wa upasuaji wa BMC Dkt. Fabian Massaga akifafanua jambo wakati maofisa habari wa wizara ya afya na taasisi zake walivyotembelea idara hiyo ambapo hivi sasa wamepunguza idadi ya wagonjwa kusubiri upasuaji kutoka miezi mitatu hadi ndani ya wiki moja

Mtaalam wa mionzi Alex Mpugi akitoa maelezo jinsi mashine ya mionzi inavyofanya kazi

Mashine ya kisasa ya kutambua´╝łkupanga) sehemu inayotakiwa kupatiwa mionzi iliyoko kwenye hospitali ya kanda ya rufaa Bugando

Maofisa habari wakielekezwa kifaa cha mionzi cha shingo ya kizazi