Home Mchanganyiko MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI...

MKUTANO MKUU WA WANACHAMA WA MUUNGANO WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA -UTPC

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa UTPC Deogratias Nsokolo alipowasili katika viwanja vya ukumbi Idris Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo.[Picha na Ikulu]

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Anders Sjøberg alipowasili katika viwanja vya ukumbi Idris Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar leo katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC .[Picha na Ikulu] 07/09/2019.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine katika Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi Idris Abdul Wakili, Vuga Mjini Zanzibar,(wa tatu kulia) Rais wa UTPC Deogratias Nsokolo .[Picha na Ikulu] 07/09/2019.

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC wakiwa katika ufunguzi mkutano huo uliofunguliwa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi Idrisa Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar . [Picha na Ikulu] 07/09/2019.

Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC wakiwa katika ukumbi Idrisa Abdul Wakili Vuga Mjini Zanzibar katika ufunguzi wa mkuitano huo uliofanywa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) [Picha na Ikulu] 07/09/2019.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 07/09/2019.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 07/09/2019.

AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania-UTPC uliofanyika leo katika ukumbi wa Idris AbdulWakil,Vuga Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu] 07/09/2019.