Rais Magufuli akimuelezea jambo Rais wa Jamhuri ya Uganda wakati wa kutembelea mabanda ya wafanyabiashara katika ufunguzi wa kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Rais Magufuli akiangalia bidhaa ya sukari inayozalishwa na kampuni ya Kakira sugar works kotoka nchini Uganda wakati wa kutembelea mabanda ya wafanyabiashara katika ufunguzi wa kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda linalofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Uganda Mh. Yoweri Kaguta Museveni akiuliza maswali mfanyabiashara wakati wa kutembelea mabanda ya wafanyabiashara katika ufunguzi wa kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda.