Home Mchanganyiko Rais Mhe. Dkt. Magufuli afanya mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Uganda...

Rais Mhe. Dkt. Magufuli afanya mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni Ikulu jijini Dar es Salaam

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni
wakiangalia mabanda mbalimbali ya wafanyabiashara wa
Tanzania na Uganda kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara
wa Mataifa hayo katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention
Centre jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta
Museveni kabla ya kuelekea katika mkutano wa
Wafanyabiashara wa Uganda na Tanzania uliofanyika katika
ukumbi wa mkutano wa Mwalimu Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta
Museveni mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni
wakiangalia mabanda mbalimbali ya wafanyabiashara wa
Tanzania na Uganda kabla ya kuzungumza na wafanyabiashara
wa Mataifa hayo katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention
Centre jijini Dar es Salaam.

Rais wa Uganda Mheshimiwa Yoweri Kaguta
Museveni akizungumza na wadau mbalimbali wa biashara
kutoka Uganda na Tanzania katika mkutano wao wa
majadiliano uliofanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere
Convention Centre jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wadau mbalimbali wa biashara kutoka Uganda na Tanzania
katika mkutano wao wa majadiliano uliofanyika katika Ukumbi
wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam.