Hospital ya wilaya ya siha kama inavyoonekana kwa mbele ikiwa ni utekelezaji wa serikali ya awamu ya tano kwenye sekta ya Afya kama ilivyokutwa na kamera yetu wilayani Siha mwishoni mwa wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Siha.
Barabara ya Siha hadi kamwanga baada ya kuwekwa lami moja ya mambo ambayo wananchi wa Siha wanaishukuru serikali ya Awamu ya tano kwa mradi huo uliowapunguzia gharama za usafiri picha na Ahmed Mahmoud Siha.