Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA AFISI YA MAKAMU WA...

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA AFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango kazi wa Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu).

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akisoma ripoto ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019. uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, kushoto Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mihayo Juma Nhnga na kulia Kaimu Katibu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Ndg Salum Maulid.(Picha na Ikulu).

BAADHI ya Watendaji wa Idara za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, wakifuatilia mkutano huo wakati wa kusoma kwa ripoti ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Ofisi yao, kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, ulifanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu).

KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Piliu wa Rais wa Zanzibar Ndg Shaban Seif Mohammed, akisoma Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yao,kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, kulia Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)