Home Mchanganyiko UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA,SERIKALI ZA...

UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA,SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa utekelezaji  wa  mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/09/2019. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa utekelezaji  wa  mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/09/2019. 

Katibu Mkuu  Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  Radhiya Rashid Haroub  alipokuwa akisoma   wa utekelezaji wa   mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia)  Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah Omar. [Picha na Ikulu.] 03/09/2019.  

Mkurugenzi wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar Said Juma Ahmada alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu Manispaa ya Mji wa Zanzibar wakati wa mkutano wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ,[Picha na Ikulu.] 04/09/2019.