Home Michezo MABONDIA NA VIONGOZI WA NGUMI NCHINI WATEMBELEA BUNGE

MABONDIA NA VIONGOZI WA NGUMI NCHINI WATEMBELEA BUNGE

0

Naibu Spika Mhe. Dkt Tulia Ackson akifurahia jambo  na Mabondia na Viongozi wa Ngumi walipotembelea Bunge Jijini Dodoma leo. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.

Naibu Spika Mhe. Dkt Tulia Ackson (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Bigwa wa Dunia wa WBO Asian Pacificc  (wa tatu kulia) alipotembelea Bunge Jijini Dodoma leo. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe na Kushoto ni Rais wa Kamisheni ya Ngumi Bw. Joe Anea.

Naibu Spika Mhe. Dkt Tulia Ackson (wa tano kulia) katika picha ya pamoja  na Mabondia na Viongozi wa Ngumi walipotembelea Bunge Jijini Dodoma leo. Watatu Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.

Naibu Spika Mhe. Dkt Tulia Ackson (katikati) akizungumza na Mabondia na Viongozi wa Ngumi walipotembelea Bunge Jijini Dodoma leo. Wakwanza kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.

PICHA NA BUNGE