Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akizungumza na vijana waliohitimu mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro Studies yaliyofanyika jijini Jerusalem nchini Israel, leo tarehe 2 Septemba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na vijana watanzania waliohitimu mahafali ya mafunzo ya Kilimo ya Agro Studies yaliyofanyika jijini Jerusalem nchini Israel, leo tarehe 2 Septemba 2019.
Na
Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Jerusalem,Israel

Serikali imeridhia ombi la
vijana 45 waliohitimu masomo ya Kilimo nchini Israel la kuwapatia ardhi kwa
ajili ya kuwekeza kwenye sekta ya Kilimo.

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet
Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 2 Septemba 2019 wakati akizungumza na vijana
hao wakati wa mahafali ya mafunzo
ya Kilimo ya Agro Studies yaliyofanyika jijini Jerusalem nchini Israel na
kuwatunuku vyeti vya kuhitimu wanafunzi 45 kutoka Tanzania.

Amesema
kuwa serikali ya Tanzania ina ardhi nzuri yenye rutuba ambayo haijaguswa kwa
ajili ya kilimo hivyo huo ni muda mwafaka kwa vijana hao kupatiwa ardhi kwa
ajili ya kuonyesha kwa vitendo waliyofundishwa wakati wa masomo yao nchini
Israel.

Alisema kuwa ni wakati
muafaka kwa wanafunzi hao kutumia ujuzi walioupata wa kujifunza mbinu bora na
teknolojia za kisasa za kuendeleza kilimo cha umwagiliaji ili kutoa elimu ya
kilimo hicho nchini mwao pindi watakaporejea.

Amesema kuwa nafasi hizo za masomo ya kilimo nchini Israel
zimetoa fursa kwa wataalam hao kuongeza ufanisi katika Sekta ya kilimo hivyo
watakaporejea nchini wanapaswa kukibadilisha kilimo kuwa na tija zaidi.

Aidha, amesema kuwa, tatizo kubwa la Sekta ya Kilimo
nchini ni uzalishaji mdogo usiokuwa na tija ambapo wakulima hutumia nguvu kubwa
lakini matokeo yanakuwa madogo. hivyo, amesisitiza kuwa, watakaporejea nchini
Tanzania wanatakiwa kutoa elimju kwa wakulima ya kuzingatia mbinu bora za
kilimo, matumizi sahihi ya pembejeo, mbolea na pia kutumia mbegu bora ili
kuweza kumnufaisha mkulima.

Aliongeza kuwa mabadiliko ya tabianchi yanaathiri kwa
kiasi kikubwa Sekta ya Kilimo hivyo ni muhimu kilimo cha umwagiliaji kikaanza
kutumika maeneo mbalimbali ya nchi kwa sababu ya uwepo wa vyanzo vya maji vya
kutosha na sio kuendelea kutegemea kilimo cha mvua ili kupambana na hali hiyo.

“Hadi sasa eneo linalotumika kwa kilimo cha umwagiliaji ni
hekta 475,000 na Mkakati wa Serikali ni kufikia hekta milioni moja ifikapo
mwaka 2035,”amesema Mhe Hasunga.

Hata hivyo, Waziri Hasunga amesema kuwa ataiomba Serikali
ya Israel kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuendeleza bonde la mto
rufiji kwa kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji ili wakulima wengi waachane
na kilimo cha kutegemea mvua kama ilivyo sasa.