Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 03/09/2019.
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya (katikati) alipokuwa akisoma muhtasari wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mohamed Ahmed Salum na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Kaimu Katibu Kiongozi Salum Maulid Salum (kulia),[Picha na Ikulu.] 03/09/2019.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 03/09/2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Kaimu Katibu Kiongozi Salum Maulid Salum (kulia) alipokuwa akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(katikati) Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya na Naibu wake Mohamed Ahmed Salum [Picha na Ikulu.] 03/09/2019.