Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watendaji wa Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaam.
Watendaji wa Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Watendaji wa Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara wakifurahia jambo wakati walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Watendaji Kata wakiwa katika mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Watendaji wa Kata katika Mkutano na Watendaji hao wa Kata zote za Mikoa ya Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka
Baadhi ya Watendaji Kata kutoka mikoa mbalimbali wakizungumza katika mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU