Gareth Bale (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 86 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Villarreal kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa De la Ceramica. Hata hivyo nyota huyo wa Wales alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90 na ushei baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano katika mchezo ambao alifunga pia bao la kwanza la Real huku mabao ya Villarreal yakifungwa na Gerard Moreno dakika ya 12 na Moi Gomez dakika ya 74 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
BALE ATUPIA MBILI, APIGWA KADI NYEKUNDU REAL MADRID YABANWA 2-2 NA VILLARREAL
By Alex Sonna
September 2, 2019 | 8:11 am

Related Stories
View all
Michezo
5 hours ago
YANGA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB
Mabingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB, Young Africans S.C. wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya kombe hilo baada ya kuichapa JKT Tanzania…
Michezo
2 days ago
CHAMA AIPA YANGA SC PRESHA MBIO ZA UBINGWA
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania…
