Home Mchanganyiko KAMPUNI YA BILLNDILLA ENTERPRISES YAMKABIDHI MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MABATI 160...

KAMPUNI YA BILLNDILLA ENTERPRISES YAMKABIDHI MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MABATI 160 UJENZI WA MADARASA MBEZI NDUMBWI

0

MKuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Danial Chongolo akipokea mabati 160 kutoka kwa Bw. Bill Ndilla Mkurugenzi wa Makampuni ya Billndilla Enterprises na MAK Consortiums LTD kama msaada wake katika ujenzi wa madarasa 4 katika shule ya Msingi Mbezi Ndumbwi Kata ya Bezi Juu wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo.

MKuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Danial Chongolo akikabidhi  mabati 160 kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Shule Judith Senkoro Kilimo baada ya kupokea mabati hayo kutoka kwa Bw. Bill Ndilla Mkurugenzi wa Makampuni ya Billndilla Enterprises na MAK Consortiums LTD kama msaada wake katika ujenzi wa madarasa 4 katika shule ya Msingi Mbezi Ndumbwi Kata ya Bezi Juu wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo.

MKuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Danial Chongolo akiwasili katika shule ya msingi Mbezi Ndumbwi kata ya Mbezi juu kwa ajili ya kupokea vifaa vya ujenzi kutoka kwa wadau wa maendeleo Makampuni ya kampuni ya Billndilla Enterprises na MAK Consortiums LTD.

Baadhi ya maofiza walioongozana na Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo katika shule hiyo.

Bw. Bill Ndilla Mkurugenzi wa Makampuni ya Billndilla Enterprises na MAK Consortiums LTDakizungumza katika makabidhiano ya vifaa hivyo kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 4 kwenye shule ya Mbezi Ndumbwi jijini Dar es salaam.

MKuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Danial Chongolo akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya ujenzi  katika shule ya msingi Mbezi Ndumbwi kata ya Mbezi vilivyotolewa na wadau wa maendeleo Makampuni ya kampuni ya Billndilla Enterprises na MAK Consortiums LTD.

Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika hafla ya makabidhiano shuleni hapo.

 

Kwaya ya wanafunzi wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi wakiimba mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo..

Baadhi ya watendaji wa kata madiwani na walimu wa shule ya msingi Mbezi Ndumbwi wakiwa katika hafla hiyo.

MKuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Danial Chongolo akitoa maagizo kwa watendaji alipokagua ujenzi wa maradasa  wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya ujenzi  katika shule ya msingi Mbezi Ndumbwi kata ya Mbezi Juu vilivyotolewa na wadau wa maendeleo Makampuni ya kampuni ya Billndilla Enterprises na MAK Consortiums LTD.

Afisa Elimu Wilaya ya Kinondoni Bw. Kiduma Mgeni akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo wakati alipokagua ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi Mbezi Ndumbwi kata ya Mbezi Juu wilaya ya Kiondoni jijini Dar es salaam.

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Judith Kilimo Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mbezi Ndumbwi wakati alipkagua ujenzi wa madarasa shuleni hapo.

MKuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Danial Chongolo akifuatana na   Bw. Bill Ndilla Mkurugenzi wa Makampuni ya Billndilla Enterprises na MAK Consortiums LTD kabla ya kupokea  msaada wa mabati 160 kutoka kwa mkurugenzi huyo kwa ajili ya  ujenzi wa madarasa 4 katika shule ya Msingi Mbezi Ndumbwi Kata ya Bezi Juu wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo.