Home Mchanganyiko Dkt. Abbasi Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa eGA

Dkt. Abbasi Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa eGA

0

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari (katikati) alipotembelea Ofisi za Wakala hiyo Leo Jijini Dodoma kujionea masuala mbalimbali ya Teknolijia ya Habari na Mawasiliano

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao Dkt. Jabiri Bakari akimueleza jambo Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi masuala mbalimbali yanayohusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Serikalini alipotembelea Ofisi za Wakala hiyo Leo Jijini Dodoma