Mkwaju wa penalti uliopigwa na Paul Pogba ukienda juu baada ya kuokolewa na kipa Rui Patricio dakika ya 68 Manchester United ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England, Uwanja wa Molineux, West Midlands. Penalti hiyo ilitolewa baada ya yeye mwenyewe, Pogba kuangushwa na Conor Coady kwenye boksi katika mchezo ambao Man United walitangulia kwa bao la A. Martial dakika ya 27 kabla ya Ruben Neves kuisawazishia Wolves dakika ya 55 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE 1-1 UGENINI NA WOLVERHAMPTON WANDERERS EPL
By Alex Sonna
August 20, 2019 | 3:35 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
17 hours ago
MWIJAGE CUP YAZINDULIWA KAMACHUMU, TIMU 20 ZASHINDANIA SHILINGI MILIONI 6
Na Silivia Amandius Muleba,Kagera. Mashindano ya soka kwa vijana ya Kamachumu Paul Mwijage Cup yamezinduliwa rasmi katika Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba mkoani…
Michezo
1 week ago
RAIS SAMIA ATOA NDEGE YA KUWACHUKUA MASHUJAA SERENGETI BOYS WALIOFIKA FAINALI YA AFCON U-17
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa usafiri wa ndege kwa ajili ya kuwachukua mashujaa wa Timu ya…
