Home Mchanganyiko DK.SHEIN AKUTANA NA MRATIBU MKAAZI WA UMOJA WA MATAIFA

DK.SHEIN AKUTANA NA MRATIBU MKAAZI WA UMOJA WA MATAIFA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.[POicha na Ikulu.] 20/08/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.[POicha na Ikulu.] 20/08/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodrigues baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.[POicha na Ikulu.] 20/08/2019.